Azam FC bingwa Mapinduzi Cup , yamla Simba usiku usiku…

Bao la kipindi cha kwanza lililofungwa na Himid Mao liliiwezesha Azam FC kutwaa kwa mara ya tatu taji la Mapinduzi,

Soma Zaidi…

Habari Mpya


Simba VS Yanga hapatoshi leo nusu fainali Mapinduzi Cup..

Simba na Yanga leo zinakutana kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka huu, safari hii zikikutana nje ya Uwanja

Soma Zaidi…


Kocha Yanga agoma kuzungumzia kipigo cha Azam FC…

Kocha  wa Yanga, Mzambia George Lwandamina jana alikataa kabisa kuuzungumzia mchezo wa juzi dhidi ya Azam FC. Yanga ilifungwa 4-0

Soma Zaidi…


Simba VS Yanga kuchuana nusu fainali mapinduzi cup kesho…

Klabu za Simba na Yanga zitakutana katika mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi utakaofanyika  Kesho ,

Soma Zaidi…


Ibrahim Ajib aitega Simba…

Mshambuliaji wa klabu ya wekundu wa Msimbazi , Simba , Ibrahim Ajib  ameanza kususia kusaini mkataba mpya na klabu hiyo

Soma Zaidi…


Yanga washikilia tiketi ya Azam FC nusu fainali Mapinduzi Cup..

Mabingwa wa soka Afrika Mashariki Azam FC ya Tanzania Bara italazimika kuifunga Yanga ili kufika nusu fainali ya mashindano ya

Soma Zaidi…


Jerry Muro aipigia magoti TFF…

Baada ya Afisa habari wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro  kutumikia kifungo chake cha mwaka mzima kwa miezi   6

Soma Zaidi…


Zilizosomwa Zaidi!