Kikosi kizima cha simba msimu mpya , yashusha mshambuliaji kutoka ivory coast..


Baada ya klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kufanya usajili kimya kimya na kwa usiri mkubwa, July 1 2016 walitangaza kocha wao mpya Mcameroon Joseph Omog na sasa  wameamua kutangaza list ya wachezaji wao wote watakaowatumia katika msimu wa 2016/2017.

Kikosi-cha-Simba-SC

Magolikipa:
Foreign: Vincent De Paul Angban
Peter Manyika
Denis Deonis

Beki wa kulia:
Hamadi Juma: Coastal Union
Salum Kimenya: Prisons

Beki wa kushoto:
Mohamed Hussein
Abdi Banda

Mabeki wa kati:
Novaty Lufunga
Foreign: Juuko Murushid
Emmanuel Simwanza: Mwadui FC
Foreign: Janvier Besala Bokungu

Viungo:
Jonas Mkude
Awadh Juma Foreign: Justice Majabvi
Saidi Ndemla
Mwinyi Kazimoto
Mzamiru Yassin: Mtibwa Sugar
Mohamed Ibrahim: Mtibwa Sugar
Foreign: Mussa Ndusha

Winga:
Peter Mwalyanzi
Jamal Mnyate – Mwadui FC
Shiza Kichuya – Mtibwa Sugar
Hassan Kabunda – MwaduiFC

Washambuliaji:
Ibrahim Hajibu
Daniel Lyanga
Haji Ugando
Mbaraka Yusuf – Kagera Sugar
Laudit Mavugo – Vital’O (Burundi)
Blagnon Goue Frederic: Africa Sports (Ivory Coast)
Ame Ali – Azam FC

Usisahau kujisajili kwenye mchezo mpya wa ligi kuu Tanzania bara | BONYEZA HAPA KUJIUNGA .Tufuate facebook , twitter na instagram .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka kwa kubonyeza HAPA . Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com