Ratiba nzima ya kombe la dunia 2018


Kombe la dunia linategemea kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 14 mwezi wa 6 hadi tarehe 15 mwezi wa saba . Ifuatayo ni ratiba nzima ya kombe la dunia kwa mwaka 2018 .

Hatua ya Makundi

Thu June 14: Russia v Saudi Arabia (Group A) – Moscow (Luzhniki), 4pm

Fri June 15: Egypt v Uruguay (Group A) – Ekaterinburg, saa 9 alasiri

Fri June 15: Morocco v Iran (Group B) – St Petersburg, saa 12 jioni

Fri June 15: Portugal v Spain (Group B) – Sochi, saa 3 usiku

Sat June 16: France v Australia (Group C) – Kazan, saa 7 mchana

Sat June 16: Argentina v Iceland (Group D) – Moscow (Spartak), saa 10 jioni

Sat June 16: Peru v Denmark (Group C) – Saransk, saa 1 usiku

Sat June 16: Croatia v Nigeria (Group D) – Kaliningrad, saa 4 usiku

Sun June 17: Costa Rica v Serbia (Group E) – Samara, saa 9 alasiri

Sun June 17: Germany v Mexico (Group F) – Moscow (Luzhniki), saa 12 jioni

Sun June 17: Brazil v Switzerland (Group E) – Rostov-on-Don, saa 3 usiku

Mon June 18: Sweden v South Korea (Group F) – Nizhny Novgorod, saa 9 mchana

Mon June 18: Belgium v Panama (Group G) – Sochi, saa 12 jioni

Mon June 18: Tunisia v England (Group G) – Volgograd, saa 3 usiku

Tues June 19: Colombia v Japan (Group H) – Saransk, saa 9 alasiri

Tues June 19: Poland v Senegal (Group H) – Moscow (Spartak), saa 12 jioni

Tues June 19: Russia v Egypt (Group A) – St Petersburg, saa 3 usiku

Wed June 20: Portugal v Morocco (Group B) – Moscow (Luzhniki), saa 9 alasiri

Wed June 20: Uruguay v Saudi Arabia (Group A) – Rostov-on-Don, saa 12 jioni

Wed June 20: Iran v Spain (Group B) – Kazan, saa 3 usiku

Thu June 21: Denmark v Australia (Group C) – Samara, saa 9 alasiri

Thu June 21: France v Peru (Group C) – Ekaterinburg, saa 12 jioni

Thu June 21: Argentina v Croatia (Group D) – Nizhny Novgorod, saa 3 usiku

Fri June 22: Brazil v Costa Rica (Group E) – St Petersburg, saa 9 alasiri

Fri June 22: Nigeria v Iceland (Group D) – Volgograd, saa 12 jioni

Fri June 22: Serbia v Switzerland (Group E) – Kaliningrad, saa 3 usiku

Sat June 23: Belgium v Tunisia (Group G) – Moscow (Spartak), saa 9 alasiri

Sat June 23: South Korea v Mexico (Group F) – Rostov-on-Don, saa 12 jioni

Sat June 23: Germany v Sweden (Group F) – Sochi, saa 3 usiku

Sun June 24: England v Panama (Group G) – Nizhny Novgorod, saa 9 alasiri

Sun June 24: Japan v Senegal (Group H) – Ekaterinburg, saa 12 jioni

Sun June 24: Poland v Colombia (Group H) – Kazan, saa 3 usiku

Mon June 25: Uruguay v Russia (Group A) – Samara, saa 11 jioni

Mon June 25: Saudi Arabia v Egypt (Group A) – Volgograd, saa 11 jioni

Mon June 25: Spain v Morocco (Group B) – Kaliningrad, saa 3 usiku

Mon June 25: Iran v Portugal (Group B) – Saransk, saa 3 usiku

Tues June 26: Denmark v France (Group C) – Moscow (Luzhniki), saa 11 jioni

Tues June 26: Australia v Peru (Group C) – Sochi, saa 11 jioni

Tues June 26: Nigeria v Argentina (Group D) – St Petersburg, saa 3 usiku

Tues June 26: Iceland v Croatia (Group D) – Rostov-on-Don, saa 3 usiku

Wed June 27: South Korea v Germany (Group F) – Kazan, saa 11 jioni

Wed June 27: Mexico v Sweden (Group F) – Ekaterinburg, saa 11 jioni

Wed June 27: Serbia v Brazil (Group E) – Moscow (Spartak), saa 3 usiku

Wed June 27: Switzerland v Costa Rica (Group E) – Nizhny Novgorod, saa 3 usiku

Thu June 28: Japan v Poland (Group H) – Volgograd, saa 11 jioni

Thu June 28: Senegal v Colombia (Group H) – Samara, saa 11 jioni

Thu June 28: England v Belgium (Group G) – Kaliningrad, saa 3 usiku

Thu June 28: Panama v Tunisia (Group G) – Saransk, saa 3 usiku

 

Kumi na sita (16) Bora

Sat June 30: 1C v 2D – Kazan, saa 11 jioni (Match 50)

Sat June 30: 1A v 2B – Sochi, saa 3 usiku(Match 49)

Sun July 1: 1B v 2A – Moscow (Luzhniki), saa 11 jioni (Match 51)

Sun July 1: 1D v 2C – Nizhny Novgorod, saa 3 usiku (Match 52)

Mon July 2: 1E v 2F – Samara, saa 11 jioni (Match 53)

Mon July 2: 1G v 2H – Rostov-on-Don, saa 3 usiku (Match 54)

Tues July 3: 1F v 2E – St Petersburg saa 11 jioni (Match 55)

Tues July 3: 1H v 2G – Moscow (Spartak), saa 3 usiku (Match 56)

 

Robo fainali

Fri July 6: Mshindi mechi ya 49 v Mshindi mechi ya 50 – Nizhny Novgorod, saa 11 jioni (Match
57)

Fri July 6: Mshindi mechi ya53 v Mshindi mechi ya 54 – Kazan, saa 3 usiku (Match 58)

Sat July 7: Mshindi mechi ya 55 v Mshindi mechi ya 56 – Samara, saa 11 jioni (Match 60)

Sat July 7: Mshindi mechi ya 51 v Mshindi mechi ya  52 – Sochi, saa 3 usiku (Match 59)

 

Nusu Fainali

Tues July 10: Mshindi mechi ya 57 v Mshindi mechi ya 58 – St Petersburg, saa 3 usiku

Wed July 11: Mshindi mechi ya 59 v Mshindi mechi ya 60 – Moscow (Luzhniki), saa 3 usiku

Kutafuta mshindi wa tatu

Sat July 14: St Petersburg, saa 11 jioni

Fainali

Sun July 15: Moscow (Luzhniki), saa 12 jioni

Tufuate instagram , facebook na twitter .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka kwa kubonyeza HAPA . Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com