Ratiba ya mapinduzi cup 2018 hii hapa


Wakati mashindano ya mapinduzi cup yakiendelea kutimua vumbi , bongosoka tunakuwekea ratiba nzima ya muchuano hii hadi itakapomaliza tarehe 13 , January mwaka 2018 .

Jumla ya timu 11 zitakazoshiriki Mashindano haya zikiwemo sita za Zanzibar, nne kutoka Tanzania bara na moja kutoka Uganda ambapo zimepangwa katika makundi mawili A na B.

Katika kundi A, kuna Mabingwa watetezi Azam FC, Simba SC, URA, Mwenge na Jamhuri.

Katika michuano hiyo Klabu ya Yanga ambayo ipo katika kundi B, ipo pamoja na timu za Zimamoto, Mlandege, JKU, Taifa ya Jang’ombe na Singida United .

Ratiba kamRatiba kamili hii hapa.

Dec 29, 2017 Ijumaa
– Group A –
Jamhuri vs  Mwenge

– Group B –
Mlandege vs JKU
Zimamoto vs Taifa ya Jan’gombe

Dec. 30, 2017 Jumamosi
– Group B –
Zimamoto  vs JKU
Taifa ya Jan’gombe vs Mlandege

Dec. 31,2017 Jumapili
– Group A –
Azam FC  vs   Mwenge
Jamhuri vs URA  Group A

Jan. 1, 2018 Jumatatu
– Group B –
Mlandege  vs  Zimamoto
JKU vs Taifa ya Jan’gombe

Jan. 2, 2018 Jumanne
– Group B –
Singida united  vs Zimamoto
Yanga   vs   Mlandege

– Group A –
Simba vs Mwenge

Jan. 3, 2018 Jumatano
– Group A –
URA vs   Mwenge
Azam FC  vs   Jamhuri

– Group B –
Taifa ya Jan’gombe vs Singida united

Jan. 4, 2018 Alhamisi
– Group B –
JKU    vs Yanga

– Group A –
Simba vs Jamhuri

Jan. 5, 2018 Ijumaa
– Group B –
Mlandege  vs  Singida united
Yanga   vs  Taifa ya Jan’gombe

– Group A –
URA    vs   Azam FC

Jan. 6, 2018 Jumamosi
– Group A –
Simba    vs   Azam FC

– Group B –
JKU   vs  Singida united

Jan. 7, 2018 Jumapili
– Group B –
Zimamoto vs  Yanga

Jan. 8, 2018 Jumatatu
– Group A –
Simba    vs URA

– Group B –
Yanga   vs  Singida united

Jan. 9, 2018 Jumanne Mapumziko

Jan.10,2018 Jumatano
Nusu Fainali ya kwanza (Mshindi kundi  A VS Mshindi wa pili kundi B )
Nusu Fainali ya kwanza (Mshindi kundi  B VS Mshindi wa pili kundi A )

Jan. 13, 2018 Jumamosi  Fainali ya Mapinduzi Cup 2018  (saa 2:00 usiku).

Tufuate instagram , facebook na twitter .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka kwa kubonyeza HAPA . Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com