Ratiba ya mapinduzi cup ipo hapa


Azam FC yapangwa kundi moja na Yanga, Mtibwa Sugar katika Kundi B kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar kuanzia Jumamosi ijayo.

Ratiba ya mapinduzi cup bongosoka

 

Tufuate instagram , facebook na twitter .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka kwa kubonyeza HAPA . Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com