Vikosi vya Yanga na Simba Msimu huu pamoja na waliotemwa


Ligi kuu Tanzania Bara ndio hivyo inakaribia kutimua Vumbi hapo September 12 huku baadhi ya vilabu vikiwa vimeshawasilisha orodha a wachezaji watakaoitumikia Timu hiyo kwa msimu mpya  wa 2015/2016 . Tutaanza na orodha ya Vikosi vya  Yanga na Simba kwa kuangalia List ya wachezaji wake pamoja na waliotemwa :-

YANGA
WALIOPO KIKOSINI
Ally Mustafa ‘Barthez’ ,  Deogratius Munishi ‘Dida’ , Thaban Kamusoko , Haji Mwinyi  , Mudathir Hamis  , Deus Kaseke , Malimi Busungu , Geofrey Mwashiuya , Mateo Simon , Beneticto Tinocco , Donald Ngoma , Nadir Haroub ‘Canavaro’ , Kelvin Yondan , Pato Ngonyani , Juma Abdul , Salum Telela , Mbuyu Twite , Amissi Tambwe , Andrey Coutinho , Oscar Joshua , Said Makapu , Simon Msuva , Haruna Niyonzima , Vincent Bossou.

Kikosi-cha-Yanga-bongosoka

WALIOACHWA
Nizar Khalfan – Mkataba umemalizika , Danny Mrwanda – Walivunja mkataba , Jerry Tegete – Walivunja  mkataba , Hassan Dilunga – Walivunja mkataba , Said Bahanuzi – Walivunja mkataba
Alphonce Matogolo – Walivunja mkataba , Mrisho Ngassa – Mkataba ulimazilika , Khap Sherman – Aliuzwa , Rajab Zahiri – Mkopo Stand United , Edward Charles – Mkopo JKT Ruvu , Hussein Javu – Mkopo Mtibwa Sugar  na oseph Zutah – Walivunja mkataba.

 

SIMBA
WALIOPO KIKOSINI
Vincent Angban , Manyika Peter Jr , Denis Richard , Isihaka Hassan , Juuko Murshid , Hassan Kessy , Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ , Abdi Banda , Justice Majabvi , Emiry Nimubona , Hamis Kiiza , Simon Sserunkuma , Pape N’daw , Ibrahim Ajibu , Said Ndemla , Danny Lyanga , Jonas Mkude , Emmanuel Mtumbuka , Musa Mgosi , Boniface Maganga , Mohamed Fhaki , Peter Mwalyanzi , Mwinyi Kazimoto , Samir Haji Nuhu , Issah Abdallah , Said Issa , Awadh Juma.

Kikosi-cha-simba.JPG

WALIOTEMWA
Ivo Mapunda -Mkataba ulimalizika , William Lucian ‘Gallas’- Mkataba ulimalizika , Abdallah Seseme – Mkataba ulimalizika , Adam Miraji – Mkopo , Elius Maguli – Walivunja mkataba , Ibrahim Twaha – Mkataba ulimalizika , Joseph Owino – Mkataba ulimalizika , Nasoro Masoud ‘Chollo’ – Mkataba ulimalizika , Amri Kiemba – Mkataba ulimalizika , Dan Sserunkuma – Walivunja mkataba
Haruna Chanongo – Mkataba ulimalizika  na Emmanuel Okwi – Aliuzwa

Usisahau kujisajili kwenye mchezo mpya wa ligi kuu Tanzania bara | BONYEZA HAPA KUJIUNGA .Tufuate facebook , twitter na instagram .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka kwa kubonyeza HAPA . Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com