wanaoongoza ufungaji ligi kuu bara hadi sasa


Ikiwa zikiwa zimebakia takribani mizunguko minne kufungwa kwa pazia la ligi kuu Tanzania bara , hii ndio list ya wafungaji wanaoongoza kwa kupachika mabao huku kukiwa na kila dalili ya mshambuliaji wa Simba , Emmanuel Okwi kuondoka na kiatu cha ufungaji bora kwa msimu huu wa 2017/2018 unaoelekea ukingoni .

JinaTimuGoals
Emmanuel OkwiSimba SC19
John BoccoSimba SC14
Obrey ChirwaYanga SC12
Eliyud AmbokileMbeya City10
Mohammed RashidTanzania Prisons9
Habibu KiyomboMbao FC9
Asante KwasiSimba8
Marcel KahezaMajimaji FC8
Ibrahim AjibYanga SC7
Shiza KichuyaSimba SC7
Paul NongaMwadui FC7

Tufuate instagram , facebook na twitter .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka kwa kubonyeza HAPA . Pia kutangaza nasi tutumie email , bongosoka@gmail.com